Friends Arena inaaminika ndio uwanja mkubwa wa mpira na matukio mbalimbali in the Nordic countries kwa sasa,inaaminiwa una uwezo wa kuingiza watu zaidi ya 65,000 kama kukiwa na concert ama 50,000 kama kukiwa na mechi.
pia wana uwezo wa kuupunguza na ikafika kufanya tukio la watu mpaka 10,000.uwanja huu ni mpya na umefunguliwa 0ctober 27 nikiwemo ndani pia.kwa sasa mechi zote kubwa kubwa na matukio yote yatafanyikia humo ndani.next week tarehe 8 november Sweden itamenyana na England humo humo ndani pia.
uwanja una uwezo wa kufunguliwa juu na kuufunga pia wakati wa winter na tukio hilo halichukui zaidi ya dk 20,humo ndani kuna lounge zaidi ya 90,na ukumbi mwingine(banquet) wenye uwezo wa kuchukua watu 1600.




Victoria Crown Princess of Sweden nae alikuwepo na mzee








ROXETTE LIVE JUKWAANI

hapa ilikua ndio tunaandaa na siku ya ufunguzi



show ikiendelea siku ya uzinduzi
set-up ladies night last week

kwenye msafara wa mamba hata vyura tumo kama hutaki shauri yako



upaparazi kazi,huku shughuli inaendelea huku nalamba taswira kishkaji

hapa ndo fainali fainali tunamalizia shughuli
for more bofya HAPA
No comments:
Post a Comment