Friday, 30 November 2012

Uongozi Mpya FC Kilimanjaro


Taarifa muhimu: Husika kichwa cha habari hapo juu, majina yameandikwa hapo chini ndio uongozi mpya wa fc.kilimanjaro, kwa wale wasioona majina yao hapo chini wameshindwa kutekeleza taratibu za fc.kilimanjaro mfano vigezo vya kuongoza fc.k, kutoripia ada ya kuongoza kilabu 4000/mwezi na kutoshiliki kikamilifu kilabuni, kivitendo. Uongozi uliopo umewateua viongozi wapya (supplianter) ili kuimarisha kilabu fc.k hususani katika kukabiriana na changamoto za mwaka 2012/2013 na kuendeza mafanikio ambayo fc.k imeyapata.

Barua rasmi ya kusimamishwa kwa wale ambao hawakutajwa majina yao humu ndani itatumwa baada ya mkutano mkuu wa mwaka, mkutano mkuu husika wa mwaka utapitisha pia majina ya viongozi wapya waliotajwa majina yao ndani ya barua pepe hii.
Mmoja wapo wa viongozi wapya amefikishiwa uhamuzi wa uteuzi husika via kikao cha bodi + well-wishers wa fc.k kilichofanyika Stockholm Sweden,mwezi wa 11 2012 na amekubari kujiunga katika gurudumu la kufanikisha malengo tuliyojiwekea, mwingine Adrey atawasiliana naye mapema kabla ya kukaa mkutano mkuu husika wa mwaka.

Michango ya wa-nauongozi wa zamani, wapya, itarudishwa (maendeleo/kazi/
proffessionalism ikianza) Au fc.k ikipata udhamini - basi waliotoa michango yao watarudishiwa ikiwa ni pamoja na asilimia chache kama kifuta jasho cha kazi ngumu, nzuri walioifanya mpaka upatikanaji wa udhamini au kazi.
Kama mjuavyo, kazi ngumu, nzuri yafaa iboreshwe hususani isimamiwe ipasavyo! (usome tena rules&terms of fc.k) Nachukua nafasi hii kuwashukuruni nyote mlioshiriki tokea mwanzo mpaka sasahivi,kadri ya uwezo wenu na amini bila nyie fc.k hisingelikuwepo, asante sana na mwendelee kuwa mabalozi wema wa fc.kilimanjaro.

OBS! Uongozi mpya: Tumeamua kuelekeza hasa hasa nguvu nyingi katika utafutaji wa udhamini/sponsorship. Lakini, tutekeleze vitendo kwa nguvu zetu zote, michango ya pesa kila mwezi..., tuazimie..,tuvumilie hususani ubidii na utafutajiviendeze kauli zetu ili tupate vitendo/maendeleo.Uongozi mpya karibuni.
Uongozi mpya ni kama ifuatavyo: Kamati ya association/Förening: Adrey, Amoni na Nyupi wakisaidiana na Mjengwa na Ndumbalo.
Kamati ya uongozi/administration for the whole club: Ndumbalo na Adrey wakisaidiana na Nyupi, Amoni na Mjengwa // Mwisho wa taarifa muhimu.

Wenu ktk fc.k.
Mulashani, Adrey Eustace
FC Kilimanjaro ORGNR: 802461-7808
TFN/TFX WORK: + 46 8 370274 MOBILE + 46 73 7106092

1 comment:

  1. teh teh teh teh teh kwi kwi kwi kwi. dha bora mana kuna wa2 walikuwa wanajiita waanzilishe wa iyo timu. nawengine viongozi wakudumu kama zamu hahahahahaha.

    ReplyDelete