Saturday, 10 November 2012

TAARIFA ZA MSIBA WA MJOMBA WANGU MZEE SONGELAELI MUDA HUU

NASIKITIKA KUPATA TAARIFA HIZI MBAYA ZA MSIBA WA MJOMBA WANGU HUYU MZEE SONGELAEL EZEKIEL MSAFIRI ALIYEFARIKI HUKO TANZANIA.
WAJOMBA ZANGU WOTE WALISHATANGULIA MBELE ZA HAKI NA YEYE NDIO ALIKUA AMEBAKIA!
NI SIKU NYINGI NILIKUA SIJAONANA NAE TANGU MARA YA MWISHO TULIONANA NIKIMUUGUZA MJOMBA WANGU MWINGINE MWAKA 2005 ALIYEKWISHAFARIKI PIA.NA SIKU ZOTE TUKIONGEA KWENYE SIMU ALINISISITIZIA AKINIAMBIA"MJOMBA NJOO ULE KUKU HUKU BANA SIO UNAISHIA HUKO MJINI TU".

MZEE SONGELAELI AMEFARIKI GHAFLA TU HATA HAKUNA TAARIFA ZOZOTE ZA KUUMWA TULIZOSIKIA.ANYWAY WOTE TU NJIA MOJA MUNGUAMLAZE MAHALI  PEMA PEPONI,AMINA.

*****R.I.P. MJOMBA SONGELAELI*****

1 comment: