Sunday, 4 November 2012

UNAZIKUMBUKA HIZI?

WENGE MUSICA 4X4 CONCERT A BRUXELLE / DJOMEGABP

HII NI VIDEO YA MWANZO MWANZO YA WENGE B.C.B.G LIVE MIAKA HIYO YA 93 NDIO ILIREKODIWA,NAKUMBUKA MARA YA KWANZA MIAKA HIYO NILIIONA HII VIDEO NA NDIO ILIZIDISHA MAPENZI YANGU YA KUPENDA BOLINGO HASA ZA WENGE MUSICA.
HAPO WAKO FULL TEAM,WAANZILISHI WA BENDI WALIKUA NI DIDIER MASELLA Werrason Ngiama, Aimé Bwanga and Alain Mwanga.
baadae wakajiunga JB MPIANA,,,ADOLPHE DOMINGUEZ,BLAISE BULLA,Vyombo unamkuta DIDIER MASELLA,Aimé Bwanga (bass player), Alain Mwanga ' Zing-Zong 'TITINA AL CAPPONE(YUKO QUARTIER LATIN SASA) NA WENGINE KIBAO.

KIPINDI HII DOGO FERRE GOLLA ALIKUA NDIO MPAMBE WA KUWABEBEA MABEGI KINA JIBE WAKIENDA KUPIGA SHOW

No comments:

Post a Comment