Thursday 19 May 2011

A.G.T.CRUISE MIPAKAZO TIME

wazee wa kuchapa wakiuliza
"are you ready"

lets goo

shughuli ikaanza hapo


jessie na lily

nikamkuta mr osewe(KSB) kaweka silaha pembeni kwanza anapooza koo


Jawajawabell ndani ya nyumba



mabegi,minyororo,miwai ya jua usiku ni vijimambo tu mdau usikonde ndio tunavyoishi

kuna mahala nilitambulishwa shemeji huyu mara nikamkuta huku anachanganya habari nikachoka



nikamkuta mc mr mbazira naye kabwaga mic sasa anakula sebene

lily na mpui

ohoooo unauliza tena?hapo ni mserereko sebene limechanganya


"yeeahhh"


jawa na fredie






pendo na fredie

jamaa alitufungia kurasa,inaelekea alilala hoi sana siku hiyo
hapo inapigwa nyimbo ya awilo"carolina mamaaaa sebeneee selebuka cha cha cha cha,carolina" pata picha ilikuwaje


MAPHOTO MENGINE KESHO MAANA HATA SIJUI KULIKUCHA VIPI WATU WAKARUDI KUPARY TENA  ASUBUHI

No comments:

Post a Comment