Sunday 1 May 2011

Lady J.D show STOCKHOLM ILIVYOFANA

mambo yote ilianzia hapa namuimbisha bosi wangu wangu kama ntaenda kupakaza midamida akashtuka  
akaniuliza"unasemaje wewe"
nikajibu"kupakaza kidoogo"

hapa anapiga mkwara"nishakwambia kupakaza mafuruku,ukirudi umilewa hapa utakula ngumi mpaka ukome,na kwanza kabla hujaenda mipakazo tupeleke dinner"

teh teh furaha baada ya kupewa green light na bwa mdogo

mama mkwe nae akatoa "ruksa"

piga menyu hii kisha nikaingia maeneo

shughuli ikaanzia hapa,linda na ankal wake

nikamkuta monie na jassie wako busy na cam


naxy na fifi wako full


kama kawa naxy,fifi na salum

hehe bakora zimekubali,stan akiwa na washkaji zake

wee nini wewe,tulia hapo

anacheeeeka

happy happier

lily nae alikua full combat utamtaka,yuko na muzee ya mujini humphrey

"konzi" ilikua km hivi


maestro vumbi
"ndenge nini papa,mutu ya ukweli inakulaka ile kitu roho napendaka hapana maneno mingi inaleta nzala

 graca na happy full loaded chezea wao kidogo wanajilipuwa
duh hapa ni km vile"no picture pls"
lakini nikakomaa kazi ngumu hii

swagazzzz
"matoke,ugali,kachumbari,tafwadhali mkate,mlenda"
full pary like no tommorow


mambo juu ya mambo


konzi ingine ilitoka kwa "mama nibebe" hapa

josee josee,from rasta to papaa welcome to the world

fredynice na mzee wa mji nyupi

nuru a.k.a."mama nibebe"full pamba

picha zingine na video jioni bandugu si unajua majukumu
"usichezee kazi chezea mushahara"


1 comment:

  1. asante kaka isaackin kwa picha kazi mzuri ubarikiwe sana kaka mimi ni mpenzi ya hii glob yako haipiti siku sijakutembelea nilikuwa naomba kama itawezekana utuwekee video ya wale waimbaji walioudhuria tamasha kule kirumba-mwanza kina roes muhando na bonny mwaitege na christina shusho naomba utuewkee live ni hayo tu kaka isaackin god blessing

    ReplyDelete