Tuesday 3 May 2011

Lady J.D STOCKHOLM SHOW PT-2 SHOWTIME

FREDDIE NA NYUPI

yanga yeye alikua anaongea sana

mrembo wa siku



naxy naxxy aliwaka kinoma

mara shwaaa mo fire show ikaanza


"mnataka niwaimbie nyimbo gani"





mama alikua busy sana siku hiyo naona alipania



"mimi ndo muzee mbegu mutu ya pesa kamata hii"




mzee wa mipango miji mathias hakukosekana


nikaenda kuuza sura kidogo na staa wetu
mmh mrembo toka kenya hapo nae hakuwa nyuma

stanley utamtaka siku hiyo mnyamwezi lazima kuuza nyago sana


hizi pozi dizaini hakieleweki lala salama


dada jack nae alikuwepo
jack,naxxy na brian

hili pozi kichochoroni"dondosha kila kitu chini hapo"

blogga maarufu stockholm osewe kenyastockholm.com/ na adam

politician mr danny mwaura(botkyrka councellor) na colonel samson mande walitufungia ukurasa siku hiyo

1 comment:

  1. yah ba toto ba nyumbani mmetoka chicha!duh lakini huyo mzee Mbugu hiyo tunza yake kwa mke wa mtu mmmhhhhhhh!

    ReplyDelete