Tuesday 17 May 2011

KANUMBA NA RAMSEY NOAH WAJA NA MUVI MPYA


baada ya kuombwa na mashabiki wake kanumba sasa anakuletea muvi kali itakayojulikana jina hapo baadaye,
muvi hiyo ambayo kamshirikisha msanii toka nigeria ramsey nouah na pia wakali kama mutoto ya mujini bongo kajala,patcho mwamba na wasanii wengine kibao.haijulikani mpaka sasa muvi itahusu nini na itakua kwa lugha gani.
tusubiri tuone

No comments:

Post a Comment