Thursday 19 May 2011

MCHINA BANA


Nilikutana na hii ngwasuma mitaa ya kati pale HM imebananishwa nikaiangalia vizuri nikakuta ni plastic,ukicheki ni ngwasuma kali la kufuta gamba la nyoka,lakini famba.hii itawafaa wacongo maana wao anakupigia juu DG na HUGO BOSS kisha chini anachomekea na hii hapo dada zetu wanajaa king kwa wiingi.

2 comments:

  1. Ha ha ha umeniuwa mbavu, eti wacongo jamani kwahiyo hao ndo wa maplastiki sio? khaa!!halafu hiyo combination imenyooka kweli, kitu dg, hugo boss mweeh..hahahhaa

    ReplyDelete
  2. teh teh si unajua anaweza akawa kaazima hizo pamba buti la kumechisha hana.kuua soo anamalizia na hii

    ReplyDelete