Friday 20 May 2011

SHEIKH YAHYA HATUNAYE TENA


YASEMEKANA SHEIKH YAHYA AMEFARIKI GHAFLA LEO MCHANA HUU KATIKA HOSPITALI YA MOUNT UKOMBOZI.

HABARI ZAIDI BAADAYE

UPDATEMnajimu na Mtabiri maarufu Afrika Mashariki na Kati, Sheikh Yahya Hussein amefariki dunia asubuhi hii jijini Dar es Salaam.
Chanzo chetu cha habari ndani ya ofisi ya Sheikh Yahya kimesema mtabiri huyo amefariki dunia wakati akikimbizwa Hospitali ya Ukombozi iliyopo Morocco, jijini.
Sheikh Yahya amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa moyo kwa muda mrefu na aliwahi kwenda India kwa matibabu. Habari zaidi tutawaletea katika mtandao huu na magazeti yetu.

SOURCE:GPL

1 comment: