Friday 13 May 2011

poleni sana wadau





kuna tatizo limejitokeza kwa blogers toka jana nimeweka post mpya lakini hazijatokea na toka hapo ikawa ngumu ku-log in,so mda huu ndio nimeweza kuingia hapa na hii ni post yangu ya kwanza.nadhani hili tatizo limetokea kwa wote maana nimeona facebook blogger mmoja nae kalalamika,natumai sasa tatïzo limeisha hivyo tutaendelea na kaazi kama kawa bak bandua,jiandae

No comments:

Post a Comment