Tuesday 24 May 2011

DIAMOND KUTUMBUIZA STOCKHOLM JUNE 10

 
katika europe tour atakyofanya kwa mwezi wa june,aanategemewa pia kutumbuiza hapa sweden tar 10.hivyo mashabiki wote wa mbagaraaaaaaa muandae kurona maana mipakazo ya mwezi huo ni ya kufamtu

3 comments:

  1. Ahsante kwa taarifa...ngoja tuandae hizo kurona:-)

    ReplyDelete
  2. Wacha weee Diamond anakuja,hiyo si ya kukosa tuandae krona ngapi?

    ReplyDelete
  3. @yasi wewe tena lazima ndani ya nyumbi,
    "edna kurona ziwe za kutosha si unajua lazima uvunje duka kwanza kwaajili ya pamba kisha ndo kutoka,lakini wewe naamini hukosi wadhamini.

    ReplyDelete