Monday 27 June 2011

BLOG YENU ISAACKIN IMECHAGULIWA KATIKA BLOG BORA KWA ENTERTAINMENT KAPIGE KURA TUSHINDE

Best Entertainments
http://ankomo.blogspot.com
http://bongocelebrity.com
http://bongoflavortz.blogspot.com/
http://dartalk.com/
http://hotspotmagazinetz.blogspot.com/
http://mrokim.blogspot.com
http://mtotowakitaa.blogspot.com/
http://thesporahshow.blogspot.com/
HAYA WADAU TUMESHAINGIA KATIKA MASHINDANO KAMA HIVYO,BASI NI JUKUMU LETU KUPIGA KURA KWA WINGI ILI BLOG YAKO UIPENDAYO ISAACKIN ISHINDE.JINSI YA KUPIGA KURA BONYEZA HII LINK www.tanzanianblogawards.com/
THEN UKIENDA HUKO ANGALIA MKONO WA KULIA KABISA THEN SCROLL KWENDA CHINI MPAKA KWENYE KITENGO CHA  BEST ENTERTAIMENT BLOG UTAONA ISAACKIN BLOG BASI UNABONYEZA BONYEE PALE MWANZO KWENYE KADUARA
UNATOA VOTE YAKO KWA KU-CLICK NENO VOTE PALE CHINI.


MUONEKANO KABLA YA KU-VOTE

Best Entertainments Blog
MUONEKANO BAADA YA KU-VOTE
Best Entertainments Blog
 Vote

ASANTENI WADAU,JITAHIDINI MPIGE KURA KWA WINGI MAANA TUKISHINDA MIPAKAZO NI HAPA HAPA GLOBUNI KWETU.
THANX
MR ISAACKINE.

1 comment:

  1. Pongezi Mr.Isaackin kwa kuchaguliwa katika Awards ya Blogs Tanzania, tuko nyuma yako/Maestro Dekula Sweden

    ReplyDelete