Thursday 16 June 2011

MISS AFRICA SCANDINAVIA MICHELLE JENG KATUA DAR LEO



miss africa scandinavia michelle jeng alipowasili dar


Miss Africa Crown Scandinavia 2010 Bi Michelle Jeng akishuhudia kikundi cha ngoma toka Mburahati jijini Dar es salaam wakati kumlaki mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere jana jini Dar es salaam . Bi. Michelle ni mtanzania anayeishi Sweden ambaye alishinda nafasi hiyo na atakuwa nchini kwa ajili ya shughuli za kijamii kama vile kuwatembelea walemavu wa ngozi , waathirika wa mabomu ya Gongo la Mboto na watoto yatima na kuwapa misaada. Picha na Tiganya Vincent, Dar es salaam

No comments:

Post a Comment