Saturday 11 June 2011

week end movie"THE EMPIRE IN AFRICA"



hii documentary inaonyesha matukio ya ukweli ya unyama wa hali ya juu uliofanywa na majeshi yaliokuwa yanalinda amani ECOMOG na wapiganaji wa RUF HUKO SIERRA LEONE.
tukumbuke pia ni kwamba hiyo vita yote ilitokana na uchu wa madaraka wa viongozi wa kiafrika kama kawaida yao,na pia rushwa iliyokuwa inasababishwa na serikali madarakani na ujeuri wa wanasiasa.
kilichotokea ni mauaji ya kutisha na mateso waliyokuwa wanafanyiwa wananchi wasio na hatia.ni documentary nzuri kuangalia na ina mafunzo sana,wadau naomba mjitahidi muangalie mpaka mwisho tusiwe wavivu wa kujifunza na kukazania kuangalia movie za kina kanumba tu.
week end njema

No comments:

Post a Comment