Thursday 23 June 2011

MVUA KUBWA STOCKHOLM







baada ya kuwa na jua la kutosha hapo nyuma hali ya hewa huko nje leo imebadilika na haitamaniki maana kumekuwa na mvua usiku kucha na tumeamka nayo asubuhi,mpaka sasa inagonga kama kawaida na kiwingu bado kipo.inawezekana tukaenda nayo week-end yote hii na hapo ndio itakua balaa maana itakua imeingilia programe nzima ya mid-summer na mipakazo.lakini aah wapi itamuharibia nani,ninavyowajua raia hapa lazima mpakazo utaendelezwa tu kiubishi ubishi.

No comments:

Post a Comment