Thursday 9 June 2011

WOW FINALLY T.K PREGGO!

TEDDY KALONGA

haya walioongea sana kuhusu huyu celebrity imekula kwao,maana walipiga kelele kama vile ni washauri wa mungu.hongera sana T.K.

1 comment:

  1. Yani am happy 4 her sijui kwanini watu wanapenda sn sn sn kufatilia ya watu. Kila m2 ana mipango yake pengine alikuwa anangoja mda flani ufike juu hakutangaza km ana matatizo lakini wanga tayari walishaanza kusema oooh hivi ooh vile.Mi nlikaa mwaka tu tena ni km mwaka kasoro tayari raia wakaseam sina kizazi manina afu nawajua nikawakaushia tu asa ivi NNA MIMBA basi woooooooooote wanajidai MABANMUSHKA kutwa kucha kuntembelea na kunipa ushauri oooh kula hiki , hiki usile,ooh fanya mazoezi usikae tu ndani basi nawacheki tu MUNGU mwenyewe atawahukumu

    ReplyDelete