Friday 24 June 2011

Its midsummer today!

Yeah ni mid-summer afton huku tulipo lakini bongo siku haina dili maana jua lipo kila siku n'a linawaka mpaka mifukoni.hii siku mambo yake ni ya kifamiliq zaidi hivyo kwasisisi tulio n'a majukumu ni kuunganika na familia kusharehekea. Bila kusahau baada ya kumaliza n'a family leo,hapo kesho tutakutana solentuna kwa ajili ya kusherehekea kiafrika zaidi.kutakuwa n'a nyamachoma za kukata na mundu bila kusahau ubwii wa kushushia wa kumwaga.ukizingatia kurona wamecheka basi ni kutundika steress kwenye mto kisha kujibeba mpaka Solentuna malmvagen uwanjani pale nyamachoma inaanza mchana wa saa saba n'a baadae tutahamia ukumbini hagvikk kwa ajili ya disko na bbq mpaka asubuhi kuna supu unapiga kisha unajikata kwenda kwenu kumalizana na usingizi karibuni maelezo zaidi soma hilo tangazo hapo juu

No comments:

Post a Comment