Wednesday 8 June 2011

HEJA SVERIGE 5 FINLAND 0

IBRAMOVIC

jana timu ya sweden ilimpata kibonde wao kaatika mechi ya euro qualify na finland.ni baada ya kuichapa time ya finland mabao matano kwa zero.
maana siku zote timu ya sweden ni ya kufungwa tu sasa jana walivopata mdondo na wao wakaonyesha kwamba hawavumi lakini wamo.tatizo hawachelewi kulewa sifa na kubaki kuzungumzia na kushangilia mechi ya jana bila kujiandaa na mechi zinazofuata,kitu ambacho kitawasababishia kushushiwa mvua ya magoli na kila timu watakayokumbana nayo.
tusubiri tuone huko mbele kama wataendeleza kipigo kwa timu pinzani ama ndio itakua mgema akisifiwa.......

No comments:

Post a Comment