Thursday 23 June 2011

MILTON ISAAC Jr MIEZI MINNE SASA



miezi minne toka jana,tushaanza kubishana na neno la kwanza namsikia akiongea ni "nej"
mda si mrefu tutaanza kula makofi humu ndani tukitoka kwenye mipakazo.na kitu kingine nimenotice huyu bwana akianza kuimba nyimbo zake tune ni kabisa ya nyumbani kule unyakyusani za mababu enzi hizo,akianza kuimba hizo nyimbo zake mpaka kila mtu anashangaa lakini kwa mimi najua hii ya kuleee home orijino
kweli maganga haachi asili

2 comments:

  1. Hongera kaka kwa kukuza!ameshakuwa huyo fanya mambo aje dadake sasa,hakuna kulaza damu baba na mama Isaac!!!!!!!!

    ReplyDelete
  2. Cute! hongera kaka kwani watoto ni furaha ya dunia..

    ReplyDelete