Tuesday 21 June 2011

JAFARAY AMJIBU MR 2 KUHUSU KUZUIA FIESTA MBEYA

Nikiwa kama mmoja kati ya wasanii wengi sana tuliosoma Mbeya, naamini km jiji la Mbeya ni kitovu cha hip hop nchini.. sasa Mr 2 usitake kuleta chuki zako binafsi ukataka kuwashika masikio watu wa Mbeya ili kuzuia FIESTA, nawajua wakazi wa Mbeya ni wajanja na hawawezi kukubaliana na upuuzi wako hata siku 1.. Lete hoja za msingi bungeni kama wenzako wakina Zitto siyo unaleta mambo ya uchochezi na chuki!!!
Me sina time ya bifu na mtu na yale mambo yalishapita nimesimama kama msanii na mkazi wa Mbeya kwa ujumla coz nimekaa mbeya miaka 4 nimesoma form 1 hadi form 4

No comments:

Post a Comment