Friday 10 June 2011

HABARI ZILIZOVUNJIKA-TETEMEKO LA ARDHI BONGO

yasemekana tetemeko limetokea na kudumu kwa sekunde tatu,maghorofa yameonekana yakitikisika huku watu wakikimbizana kugombea ngazi na lift kuwahi kuondoka maghorofani(unajua tena hakuna anayependa kudedi)
hata hivyo wataalam wameendelea kutafutwa ili watoe maoni yao kuhusu tetemeko hilo.

tutawajulisha kinachoendelea

isaackin

No comments:

Post a Comment