Friday 3 June 2011

ffilamu mpya "CHUMO" yazinduliwa dar


natumai movie hii itatoa funzo kwa  waiizaji bongo na movie zao,badala ya kutoa movie mpya kila mwezi kutuonyesha magari na majumba ya kifahari,wawe wanakaa kidogo na kutafakari watoe movie gani itakayokuwa na mafunzo na zinazohusu haswa mazingira ya mtanzania,sio kila siku wanatuonyesha ma bima x5 na rover na mibenzi ya kina muzammil na papa msofe.washabiki hawataki kuona hayo inabidi mu-act movie hata na bajaj au baskeli swala sawa tu mradi ina hadithi nzuri na ujumbe mtamu.kwaherini

1 comment: