Tuesday, 29 May 2012

Watoto Afrika wanaasiliwa na wageni


                                                       Watoto wa Kiafrika na Wazazi wao
Shirika la kuteteta maslahi ya watoto la The African Child Policy Forum linasema zaidi ya watoto elfu 40 wameasiliwa katika kipindi cha miaka minane wengi wakiwa na walezi kutoka Marekani, Ulaya Magharibi na Canada. Watoto wengi hasa wanaasiliwa kutoka Ethiopia ambayo inatuma watoto wengi ugenini nyuma ya China.
Kuna zaidi ya mashirika 70 yanayoshughulika na mpango wa kuwaasili watoto nchini Ethiopia 15 ya mashirika yakiwa ni ya Kimarekani.
Sababu kubwa ya barani Afrika kuwa na idadi kubwa ya watoto wanaoasiliwa na wageni ni kutokana na udhibiti mkubwa wa mpango huu katika mataifa ya Ulaya na Amerika Kusini.
The African Child Policy Forum inasisitiza haja ya kila mtoto kukulia katika mazingira yake asilia ya kuzaliwa. Shirika hili linasema ni muhimu kwa mtoto kukua na jamaa na utamaduni anaofahamu zaidI

bbcswahili

KAULI ZA VIONGOZI KUHUSU VURUGU ZANZIBAR




SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema operesheni ya kuwasaka wahalifu walihusika na vurugu za wiki iiliyopita inaendelea na Serikali haitakuwa na msalia mtume kwa yeyote aliyehusika na vurugu hizo.

Akizungumza katika mkutano na viongozi wa dini katika ukumbi wa Kanisa la Pentekoste Tanzania lililopo Kariakoo, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais, Mohammed Aboud Mohammed alisema Serikali imesikitishwa na kitendo kilichotokea cha vurugu na uchomaji wa nyumba za ibada, Makanisa.

“Hizi ni njama za makusudi, nataka nisemawazi kwamba watu hawa wametangaza mapambano na Serikali,tutawashughulikia ipasavyo,” alionya Waziri Aboud.

Watu waliofanya vurugu Zanzibar sasa watakiona kwani wametangaza mapambano na Serikali, itawashughuliki popote walipo.

Waziri Aboud alisema kwamba waumini wa dini zote wamekuwa wakiishi kwa upendo na maelewano makubwa kwa miaka mingi ambapo ustahamilivu wa kidini upo kwa hali ya juu katika Visiwa vya Unguja na Pemba.

“Mie nakumbuka nilipokuwa nakaa kule Shangani kwa mfano Mwezi wa Ramadhani utakuta tunapelekeana vyakula, waislamu wanapeleka kwa wakristo na hata siku ya sikuuu ya Idd el Fitr tunasherehekea pamoja, huwezi kubagua yupi mkristo yupi Muislam,” alisema waziri hyo.

Alisema Serikali inawapo pole waumini wa makanisa yaliyochomwa moto na kuwaahidi hatua kali zitachukuliwa dhidi ya wale wote waliohusika.

Akizungumza katika mkutano huo,Mkuu wa Jeshi la Polisi, Inspekta Jenerali Said Mwema alisema Polisi imejipanga kimkakati kukabuiliana na wale wote watakaofanya au kuchochea ghasia.

“Tunaendelea kudhibiti hali,doria kama kawaida na pia tumeweka ulinzi maalum katika nyumba za ibada tumezijumuisha katika sehemu muhimu za ulinzi kwa kipindi hichi,” alisema IGP Mwema.

IGP Mwema alisema pia ameunda timu maalum ya kikosi kazi ambacho kinajumuisha maafisa kutoka Idara ya Upelelezi Makao Makuu Dar es Salaam kuchunguza matukio ya vurugu hizo na kuwachukulia hatua watakaobainika.

Alisema katika mkutano huo pia jumla ya watu 46 wamekamatwa jana (juzi) na kati ya hao 43 wamefikishwa mahakamani jana Mjini Zanzibar wakikabiliwa na tuhuma mbalimbali.

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja, Abdallah Mwinyi Khamis alisema Serikali ya Mkoa wake imesikitishwa mno na vitendo vya ghasia na uchomaji wa makanisa moto.

Mkuu huyo wa Mkoa alisema uvumilivu wa kidini ni jambo la msingi sana na anaamini waliofanya vurugu na kuchoma baadhi ya makanisa moto sio waumini wa dini ya Kiislamu bali ni wahalifu.

“Tujiulize jamani, hivi kweli muumini wa kiislam anaweza kwenda kuvunja baa na kasha kuanza kunywa pombe? Hawa sio Waislam …hapa kuna jambo, tutawachunguza kubaini chanzo na wanaohusika na kadhiaa hii,” alisema Mkuu huyo wa Mkoa.

Akithibitisha uvumilivu wa kidini uliokuwepo Zanzibar tangu enzi na enzi, Mkuu wa Mkoa alitoa Stempu ya Serikali ya Kikoloni iliyopambwa kwa picha za misikiti na makanisa wakati wa utawala wa Kisultani chini ya himaya ya Uingereza yenye ujumbe wa uvumilivu wa kidini Zanzibar.

“Stempu hii iliyokuwa imetolewa na Serikali ya Kiingereza wakati ule inathibitisha kwamba Zanzibar hakuna tatizo la waislamu na wakristo,huu jamani ni ushahidi tunashangaa leo wanatoka watu wanachoma moto kanisa,” alisema.

Alitoa mfano wa namna wananchi Zanzibar walivyokuwa wakiishi kwa upendo na mshikamano wa maziko ya aliyekuwa Waziri Mwandamizi katika Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, marehemu Brigedia Jenerali Adam Mwakanjuki, idadi ya Waislamu mazikoni ilikuwa kubwa kuliko ya dini nyingine.

“Mbali na hili la mwenzetu Mwakanjuki, mimi mwenyewe niliombwa na Skuli ya Kanisa St Joseph kusomesha, walikuwa na upungufu wa walimu, Wizara ya Elimu ikaniteuwa mie nienda kusomesha, nimeishi nao vizuri, hawakunitenga …mimi ndio mwalimu wa mwanzo muislam kusomesha skuli ya wakristo hapa Zanzibar,” aliongeza Mkuu huyo wa Mkoa.

Katibu Mkuu wa Makanisa ya Pentekoste Tanzania, Askofu David Mwasota aliishukuru Serikali kwa kuwaunga mkono na kuwa pamoja nao kitendo ambacho kinathibitisha dhamira njema ya Serikali na viongozi kwa ujumla.

Askofu Mwasota alisema kesho (leo) watafanya mkutano wa madhehebu yote ya kidini kuzungumzia kadhia hiyo mkutano ambao utafanyika katika Kanisa la Pentekoste Kariakoo Unguja.

Mkuu wa Dini ya Kiislam katika Ofisi ya Mufti Mkuu Zanzibar, SheikhThabit Noman Jongo ameshangazwa na watu wanaochoma moto makanisa na kuwafananisha watu hao kuwa ni wahalifu na Serikali iwachukuli hatua kali kwani Waislam hawana ugomvi na Wakristo.
 
 Na Juma Mohammed – MAELEZO, Zanzibar

LOLI LINAPOPIGA MWEREKA "YOGA STYLE"

Truck strikes 'yoga pose' after massive crash

Stockholmers stranded after more train problems

Stockholmers stranded after more train problems

More train delays plagued Stockholm commuters from Tuesday morning until three in the afternoon, as a power failure in Häggvik caused chaos for trains north of Stockholm.
Train services were disrupted on all train lines north of central Stockholm due to a cable fire at Häggvik, which caused a power failure, wrote the TT news agency.

The outage, which occurred just after 8.30am, affected long-distance and commuter lines as well as the Arlanda Express airport shuttle.

“This is just typical. I don’t even know how to get to Stockholm from here,” said Patrick to The Local after his train was stopped and then cancelled at Sollentuna.

“I guess I’ll just follow the crowd. How much longer are these problems going to keep me from my desk?”

Six trains have been left stranded on the tracks between Stockholm and Arlanda as well as two of the Arlanda Express airport shuttles.

These trains have to be evacuated, or towed to the platform, according to TT.

Replacement buses have taken many of the stranded passengers to their destinations, yet it remains unclear how many people have been affected by the delays, wrote the agency.

On Friday morning, the same train lines as well as some lines on the metro were disrupted until midday due to another power outage.

The lines were up and running again shortly before 3pm, according to TT.

SOURCE;thelokal

Washtakiwa kesi Ya Kujeruhi Wafuasi Wa Chadema Wafikishwa Mahakamani

Wafuasi Wa Chadema Wakitoka Mahakamani Mapema Leo

Watuhumiwa watano katika kesi ya kujeruhi wafuasi wa chadema kwenye mkutano eneo la nduli mkoani Iringa wamefikishwa mahakamani kujibu shitaka linalo wakabili, Washitakiwa Hamisi Chonanga,Meshaki Chonanga,Alex Chonanga,Greyson Chonanga na Musa Mtete,  Kesi itatajwa tena Tarehe 13-6-2012

 Habari zilizotufikia  waliojeruhiwa kwenye Mkutano huo wanaendelea vizuri na wameshatoka Hospitali 
Na Said Ng'amilo

Akadevu-Music present's; Dekula Band"Ngoma ya Kilo"






Akadevu-Music present's;
Dekula Band"Ngoma ya Kilo"
Place:Lilla Wien"Little Nairobi"
Date:01-02 June 2012
Time:21.00-01.00
Add:Swedenborgsg.20
Pendel:Södra Station

Saturday, 26 May 2012

Ten signs that you've 'gone native' in Sweden

Ten signs that you've 'gone native' in Sweden



After having lived in Sweden for a certain number of years, many ex-pats start asking, “Am I going native or what?” Check out The Local's guide to tell-tale signs that you may be more integrated into Swedish society than you first realized.
The reasons for this can be many.

A raised eyebrow among peers, a comment from a loved one, or even finding yourself doing something that feels just a little too Swedish for your own liking.

The Local's guide to "going native".

The question is - how to know when you have crossed that invisible border. To facilitate this awareness, The Local has prepared a list of tell-tale signs that you are, in fact, going native.

So whether you are unaware of your own leanings towards the Swedish way of being, or whether you are painfully conscious of your own metamorphosis – and whether you like it or not,

 here's how to find out.

Source:thelokal

TAIFA STAR IMETOKA SARE 0-0 NA MALAWI

Mpira umekwisha kama wanavyoonekana katika picha wachezaji wa Taifa Stars wakitoka nje ya uwanja kwenda mapumziko, Si Taifa Stars wala Malawi ambayo imepata goli, hata hivyo wamalawi wameshambulia mara nyingi katika lango la Taifa Stars katika kipindi cha kwanza, lakini uimara wa mabeki pamoja na Golikipa Juma Kaseja umesaidia Wamalawi hao kutopata goli ,  Taifa Stars yenyewe imefanya mashambulizi ya hatari mawili tu! hata hivyo haikuwa bahati yao ambapo mpaka mwisho wa mchezo huo timu hizo zimetoka sare ya 0-0.

Timu ya Malawi iko safarini kuelekea nchini Uganda ambako itakipiga na timu ya Uganda Cranes.
Mpambano huo unafanyika kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.
Mchezaji wa timu ya taifa Taifa Stars Mbwana Samata ambaye anacheza mpira wa kulipwa katika timu ya TP Mazembe nchini DRC Congo akijaribu kumtoka beki wa malawi Foster Namwela wakati timu hizo zikimenyana kwenye uwanja wa Taifa jioni hii
 Wachezaji wa timu ya taifa Taifa Stars wakiingia uwanjani jioni hii kwa ajili ya kupasha mwili kabla ya mpambano wake wa kirafiki na timu ya taifa ya Malawi The Flames
 Wachezaji wa timu ya Malawi wakipasha mwili kabla ya kuingia uwanjani kukwaana na Taifa Stars jioni hii kwenye uwanja wa Taifa.
Wachezaji wa akiba wa timu ya Taifa Stars wakijifua kabla ya mpambano huo jioni hii.

MKUTANO WA WANA CHADEMA WAFANA JANGWANI



John Mnyika akiongelea haja ya mabadiliko ya mifumo
Tundu Lissu akitoa somo la katiba


Sehemu ya umati kwenye mkutano huu
 
picha na habari na mjengwablog

Friday, 25 May 2012

AFRIKA KABISA







MAMBO YA BONGO
maisha bora kwa kila mtanzania

naibu waziri wa mawasiliano January Makamba atembelea airtel

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,  January
Makamba (kushoto) akipokewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania,Sam Elangallor,  alipofanya ziara kukagua shughuli mbalimbali zakampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasilino\ wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,  January
Makamba (kushoto) akipokewa na Ofisa Mkuu wa Biashara wa AirtelTanzania, Chiruwi Walingo
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice SinganoMallya akiongozana na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi naTeknolojia
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangallor (katikati)akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kulia)
  

bolingo kali mpya iliyotufikia wiki hii

SHEREHE ZA UBINGWA SIMBA NI JUMAPILI HII NDANI YA DAR LIVE

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE MAALUM TOKA ZIMBABWE

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe uliowasilishwa na Waziri wa nchi ofisi ya Rais Bwana Sidney Sekeremayi ikulu ndogo mjini Dodoma leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Bwana Sidney Sekeremayi ambaye ni mjumbe maalumu wa Rais Robert Mugabe ikulu mjini Dodoma leo asubuhi
(picha na Freddy Maro)

Thursday, 24 May 2012

SAFARI YANGU MBEYA!


Somewhere near Tukuyu


File:Tukuyu.jpg
 nilipita pia mahali hapa
 na niliikuta hii mashine imepaki inapakia mzigo,nilitamani sana kupiga nayo picha lakini sikuwa na jembe
 
kiwira
wadau wapendwa wa blog hii ya isaackin,msione kulikua kimya hapa nilipata safari kidogo ya kushuka kijijini kupalilia migomba ikiwa ni pamoja na kuji-boost tayari kwa mapambano mengine.
safari yangu ilikua poa nilifika salama na kurudi salama kabisa ingawa magari yanatembea kama ndege barabarani,nimefika nimekula matoki na takapela bila kusahau ngunyani na ugali,na of course jogoo mmoja aliyeshiba alipoteza maisha kwa ajili yangu.nimefurahi kufika huko na kuwaona tena watu wangu wakiwa na nguvu na afya na ilikua raha sana kwakweli,nimerudi salama na nitarejea tena baadaye
nashukuru kwa kuendelea kunitembelea na kuuvumilia kimya changu

Akadevu-Music present's; Dekula Band"Ngoma ya Kilo"


Akadevu-Music present's;
Dekula Band"Ngoma ya Kilo"
Place:Lilla Wien"Little Nairobi"
Date:25-26 May 2012
Time:21.00-01.00
Add:Swedenborgsg.20
Pendel:Södra Station

Sweden moves to outlaw forced marriages


Anyone in Sweden who forces someone else to get married against their will can be sent to prison, according to proposed legislation presented Thursday which aims to criminalize forced marriages.
"We want to criminalize child marriage and forced marriage. It should also be a punishable offence to take a child out of the country and marry them off there," Göran Lambertz, who heads the government inquiry tasked with drawing up new legislation, told Sveriges Television (SVT).

Lambertz has said previously that the new law included a proposal that anyone convicted of forced marriage could be sentenced to up to two years in prison.

On May 1st 2004, Sweden changed its marriage laws to make marriage under the age of 18 illegal, even if the marriage was entered into abroad.

Until then, it was possible for citizens of countries were the legal marrying age was under 18 to marry in Sweden from the age of 15 and up without requesting special permission.

But last year the government declared it wanted to see if further restrictions could be drawn up against so-called proxy marriages to try to ensure that marriages are entered into voluntarily by all parties.

The inquiry also proposes scrapping an exception to current marriage laws allowing people under the age of 18 to get married.

Sweden currently has an exemption for child marriages in cases where an underage girl is pregnant.

"We want to get rid of that. It shouldn't be possible to get an exemption for child marriage," Lambertz told Sveriges Television (SVT).

Lambertz will submit the inquiry's findings to justice minister Beatrice Ask and equality minister Nyamko Sabuni on Thursday.

According to him, around 300 people in Sweden live under the threat of being married off to someone against their will.

The inquiry also proposes creating a national body to improve coordination, education, and advising among public agencies and schools which deal with the issue.
TT/The Local

ICC rejects challenge to Kenyan election violence trial


Uhuru Kenyatta  
Uhuru Kenyatta has said he will stand in next year's election
The International Criminal Court has rejected an appeal by four prominent Kenyans accused of orchestrating post-election bloodshed in 2008.
The ruling means they are likely to face trial in the Hague for alleged crimes against humanity.
All four men deny their roles in violence that surrounded a disputed presidential election in which more than 1,200 people died.
They had challenged the ICC's jurisdiction on technical grounds.
The four men were influential supporters of the two main candidates in the election - Mwai Kibaki and Raila Odinga.
The violence began as clashes between supporters of the two rival presidential hopefuls, but it snowballed into a bloody round of score-settling and communal violence.
Fighting continued for months, and 600,000 people were forced from their homes.
Charges dropped Uhuru Muigai Kenyatta is the most high-profile suspect.
He is a son of Kenya's first president, Jomo Kenyatta, and is a deputy prime minister.
He is also a leading ally of President Mwai Kibaki and has said he will stand in next year's elections.
In January Kenya's attorney-general ruled he should be allowed to remain in office pending the outcome of the challenge to the ICC's right to hear the case.
Francis Muthaura is another key Kibaki supporter and is a former ambassador to the United Nations.
The other accused men - William Ruto and Joshua arap Sang - were supporters of Mr Odinga. Mr Ruto is also expected to contest the 2013 poll.
They were among six people who were originally charged by the ICC - two others, Hussein Ali and Henry Kosgey, had the charges against them dropped.
The violence ended after Mr Kibaki and Mr Odinga agreed to share power, with the latter becoming prime minister.

source:bbc

mbunge wa rombo Mh Joseph Salasini amepata ajali mbaya sasa hivi


 Mbunge Joseph Selasini kapata ajali eneo la Bomang'ombe Mjini, karibu na pale wanapouza nyanya...

Gurudumu moja la mbele la gari alilokuwa akisafiria lilipasuka. Gari likaacha njia likaangukia darajani. Kwa wale wanaofahamu eneo hilo kuna daraja maarufu linaitwa Mjapani.

Alikuwa akitokea Arusha kumtoa baba yake hospitalini. Yeye na Baba yake wamesalimika. Walikuwa wamefunga mikanda. Ndiyo iliyowasaidia. Wengine watatu, mama yake, shangazi yake na mama mmoja mwingine, wamekufa pale pale.

Mbunge anaendelea vizuri. Amelazwa Hospitali ya Wilaya ya Hai, Anaongea.

Tumaini Makene,
Kurugenzi ya Habari - CHADEMA

OHOOOO!WEE ACHA

THE NIGHT TO REMEMBER. DR SARKIS & HIS SEXY GIRLS DANCE GROUP IN STOCKHOLM.

 

                                              TOMORROW IS THE D DAY. THE NIGHT YOU SHALL NEVER FORGET
 
VRETENBORGSVÄGEN 21, OFF LILJEHOLMEN- WITH BUS 165 DISEMBARK AT KARUSELL BUS STATION.

MNYIKA ASHINDA KESI UBUNGO

Taarifa za uhakika ambazo zimetufikia ni kuwa, Mbunge wa jimbo la Ubungo mkoani Dar es salaam, John Mnyika, ameshinda kesi iliyokuwa imefunguliwa kupinga ushindi wake katika uchaguzi uliompatia ushindi yeye na chama chake (CHADEMA), katika jimbo hilo.

                     Taswira Mbali Mbali mara baada ya Mnyika kushinda Case

 Mbunge wa chadema John Mnyika akiwa amebebewa na wanachama wa chama hicho mara baada ya ushindi leo katikan mahakama kuu ya tanzania katika hukumu ya kesi ilofunguliwa na mpinzani wake Hawa Ng'humbi wa chama cha CCM kupinga matokeo ya uchaguzi.
 Wakereketwa wa vyima mbalimbali wakiwa wamefurika mahakama kuu ya tanzania leo kusikiliza hukumu ya john mnyika
 jeshi la polisi likiakikisha ulinzi unaimarika katika mahakama hiyo leo
 Wakereketwa wa vyima mbalimbali wakiwa wamefurika mahakama kuu ya tanzania leo kusikiliza hukumu ya john mnyika wakiwa wanashangilia nje ya mahakama kuu.
 Jeshi la polisi likiwa kwenye msafara kusindikiza maandamano ya chama hicho kuelekea katika njimbo la la john Mnyika mara baada ya ushindi huo
 kijana ambae akujulikana jina lake akiwa amebebwa baada ya kuanguka kwenye pikipiki
 John Mnyika akionyesha ishara ya ushindi akiwa na wapambe wake pepembeni
 hapa wakielekea jimboni kwake Ubungo

  hivi ndo vituko vya ushindi wa CHADEMA
 Wanafunzi wa shule ya msingi Dr Omari mansipaa ya kinondoni nao wakisherekea ushindi huo
 maandamano ya kusindikiza John Mnyika 
 waandishi wa habari wakiwa kwenye kupata habari walipowasili katika jimbo la John Mnyika
John mnyika akiutubia katika jimbo lake mara baada ya kuwasili 
Picha zote na Philemon Solomon wa Fullshangwe Blog