Friday 25 May 2012

naibu waziri wa mawasiliano January Makamba atembelea airtel

Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,  January
Makamba (kushoto) akipokewa na Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania,Sam Elangallor,  alipofanya ziara kukagua shughuli mbalimbali zakampuni hiyo jijini Dar es Salaam jana. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasilino\ wa Airtel, Beatrice Singano Mallya.
Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia,  January
Makamba (kushoto) akipokewa na Ofisa Mkuu wa Biashara wa AirtelTanzania, Chiruwi Walingo
Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel Tanzania, Beatrice SinganoMallya akiongozana na Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi naTeknolojia
Mkurugenzi Mtendaji wa Airtel Tanzania, Sam Elangallor (katikati)akitoa maelezo kwa Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba (kulia)
  

No comments:

Post a Comment