Tuesday 29 May 2012

Washtakiwa kesi Ya Kujeruhi Wafuasi Wa Chadema Wafikishwa Mahakamani

Wafuasi Wa Chadema Wakitoka Mahakamani Mapema Leo

Watuhumiwa watano katika kesi ya kujeruhi wafuasi wa chadema kwenye mkutano eneo la nduli mkoani Iringa wamefikishwa mahakamani kujibu shitaka linalo wakabili, Washitakiwa Hamisi Chonanga,Meshaki Chonanga,Alex Chonanga,Greyson Chonanga na Musa Mtete,  Kesi itatajwa tena Tarehe 13-6-2012

 Habari zilizotufikia  waliojeruhiwa kwenye Mkutano huo wanaendelea vizuri na wameshatoka Hospitali 
Na Said Ng'amilo

No comments:

Post a Comment