Friday, 25 May 2012

RAIS KIKWETE APOKEA UJUMBE MAALUM TOKA ZIMBABWE

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akipokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe uliowasilishwa na Waziri wa nchi ofisi ya Rais Bwana Sidney Sekeremayi ikulu ndogo mjini Dodoma leo asubuhi.
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Bwana Sidney Sekeremayi ambaye ni mjumbe maalumu wa Rais Robert Mugabe ikulu mjini Dodoma leo asubuhi
(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment