Wednesday 2 May 2012

MAKONGORO MAHANGA AMESHINDA KESI YA UBUNGE SEGEREA

Mbunge wa Jimbo la Segerea Na Naibu Waziri , Dk. Miltoni Makongoro Mahanga.

 Taarifa rasmi ni kuwa Dr Makongoro Mahanga ameshinda kesi dhidi yake katika Jimbo la Segerea. Mpendazoe atatakiwa kulipa gharama za kesi.

habari zaidi baadae

No comments:

Post a Comment