Wednesday, 16 May 2012

PRE-LAUNCH OF SKYLITE PARTY AT NYUMBANI LOUNGE

 Justin Ndege (kushoto) akiwa na wadau wa Kampuni ya Sky Light Entertainment ambao ndio waandaaji wa SKYLIGHT Parties itakayofanyika jijini Dar es Salaam kila mwezi mara moja katika kumbi mbalimbali za jijini la Dar es Salaam.
 Warembo wakindaa Cocktail kwa Wageni waalikwa katika Pre Launch ya Skylight Parties iliyofanyika Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam. 
 Warembo wakikaribish wageni waalikwa katika Pre Launch ya Skylight Parties iliyofanyika Nyumbani Lounge jijini Dar es Salaam. 
 DJ Elly wa Clouds FM akifanya mixing za ukweli Nyumbani Lounge
  Dr Sebastian Ndege(kulia) akiwa na wadau
 Wadau wa Skylight Parties
 Wadau
 Dr Sebastian Ndege na wadau
Wadau kibao
 
PICHA NA HABARI NA MATUKIO-MICHUZI

No comments:

Post a Comment