Sunday 6 May 2012

RAIS KIKWETE KUWAAPISHA MAWAZIRI WAPYA IKULU KESHO

  Image Detail
 
 
Na Mwandishi Wetu
Mweneyekiti wa Chama Cha Mapinduzi, Rais Jakaya Kikwete kesho, Jumatatu, May 7, 2012, atawaapisha mawaziri na Manaibu mawaziri aliowateua katika mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri aliyoyatangaza Ijumaa iliyopita Ikulu, Dar es Salaam. Taarifa iliyotolewa na Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam, imesema sherehe za kuaposha mawaziri hao zitafanyika kwenye viwanja vya Ikulu kuanzia saa 5.30 asubuhi.

No comments:

Post a Comment