Tuesday 25 January 2011

BAADA YA KUREJEA ZMBABWE MUGABE ASEMA YEYE NI MZIMA WA AFYA

Robert Mugabe (in December 2010)
rais robert mugabe

gonga chini kusoma

baada ya kuzushiwa kwamba rais robert mugabe yuko hoi hali yake tia maji tia maji hospitali malaysia,jumapili jioni amerudi zimbabwe na kusema yeye yuko physical fit wenye wivu wajinyonge na kwa mba alikuwa zake singapore huko akipumzika na kula bata.
kauli hiyo naona itakuwa inazidi kuwakatisha tamaa raia wengi wa zimbabwe ambao wanahitaji mabadiliko ili angalau wa-enjoy maisha kidogo lakini wapi bwana muzee bado yupo na ataendelea kuwepo kwa jeuri ya chama na wala hana dalili ya kuachia madaraka leo au kesho wapende wasipende.nashindwa kuelewa ikulu pana nini maana hawa viongozi wetu waafrika wakishakaa pale basi wanataka kufia hapo hapo.


No comments:

Post a Comment