Tuesday 4 January 2011

MWANAMUZIKI MWINGINE MAHIRI NGOSHA AAGA DUNIA


kwa wale wapenzi wa burudani ya muziki wa dansi hili jina sio geni,ulikua hasa ukiingia msondo pale bila huyu jamaa bass haliungurumi na msondo unakuwa si msondo.sikiliza nyimbo nyingi za msondo ngosha ndiye kacharaza bass gitaa.amefariki baada ya kuugua muda mfupi.haya safari ni moja kila mtu na njia yake.R.I.P NGOSHA

No comments:

Post a Comment