Monday 24 January 2011

WASWEDE NAO WAMO KATIKA UVUMBUZI

dildo mpya ya dhahabu tupu

asalamaleko waungwana

habari za week-end wadau wote wa blog hii,kwangu mimi haikuwa mbaya kidogo tulimtembelea berry black then ikawa mapumziko ya muda mrefu.
haya ni jumatatu ingine ambayo tumeingia mtaani tena kutafuta mkate wa kila siku maana kama unavyoipata ile methali "asiyefanya kazi na asile"

katika kuonyesha kama na wao hawavumi  lakini wamo,leo sweden wametangaza kuvumbua "dildo" ya kwanza ya bei ghali zaidi duniani!
sio kwamba hawajawahi kuvumbua vitu vingine la hasha,kama ukitaka kupata uvumbuzi wa vitu vya ajabu ajabu basi utavipata sweden,kuna hotel iliyojengwa  na barafu,ndege iliyogeuzwa hotel,hotel iliyo juu ya miti,room apartment iliyojengwa kwenye maji,na sasa dildo ya dhahabu!.
dildo hiyo mpya ni gold platted 18 karat na thamani yake ni sek 94,000/= ambayo ni sawa na
USD 14,000/=
hiyo yote ni kukuonyesha kwamba tusidhanie wamelala aah wapo busy kufikiria vitu gani wavumbue ili waendelee kuushangaza ulimwengu kwamba na wao wamo kwenye ushindani wa kuzindua vitu mbali mbali.

lakini ni afadhali ya hawa kuliko viongozi wetu huko nyumbani maana wao wako busy kuvumbua nyumba ndogo,na gesti mpya,baa mpya za kupata kiti-moto kizuri,na njia mpya za kujipatia uchache wa mazabe.

tuendelee kusubiria waswede watakuja na uvumbuzi gani mwingine wa ajabu.

WATEJA MTAIPATA HIYO KITU KINO-SHOP

NB:ukitaka orijino nibeep(jokes)

No comments:

Post a Comment