Friday 7 January 2011

friday zilipendwa movie"OPRAH 1 the hot sunday"

NO 1-6 NO 2-6 NO 3-6 NO 4-6 NO 5-6 NO 6-6

haya movie zilipendwa hiyoo OPRAH,nimeweka tuangalie kina ray, kanumba,aunt eze,irene uwoya na wengineo enzi hizo.wiki ijayo tutamalizia toleo jingine,na leo sikuwa na choyo nimeweka yoote,pili ni kwamba ntaanza kuweka movie zoote za kibongo kwenye youtube account yangu mda si mrefu,nia ni kupromote movie zetu kwa hiyo baadae utakua na movie lukuki za kuangalia youtube.msijali tuko pamoja.week-end njema na mipakazo myema ingawa najua watu wamecharara kinoma.nina uhakika movie hii itaangaliwa na wengi maana huu ndio muda muafaka wa kupapenda nyumbani kwako na familia ikiwa ni pamoja na kuipenda tv yako kwa sie tulioko upwekeni.adios 

No comments:

Post a Comment