Wednesday 12 January 2011

LEO NI SIKU YA MAPINDUZI ZANZIBAR



Kilichoelezewa hapa ndicho kilichotokea siku hiyo,kuna kitabu bado nakisoma kwaheri uhuru nitawawekea link nanyi msome kujua historia hiyo.(km mtasoma maana kuna jamaa alisema mwafrika ukitaka kuficha siri andika siri hiyo kitabuni-hasomiiii ng"o)
ila kitabu ni kizuri na msihofu lugha kimeandikwa kwa kimatumbi cha k-koo kabisa

No comments:

Post a Comment