Saturday 1 January 2011

TUSKER SASA INAPATIKANA NI PALE CLUB AFRIQUE HONSGATAN 82.STOCKHOLM


ileeeee pale juu kulia kazi kwenu wapakazaji


haya mchupa huo toka east afrika,ila sasa tabu yake siku hizi watu tushazoea kumimina ile norland guld,slotts guld ama arboga 10.5%.ukijakuchapa hii unajisikia km vile unakunywa fresh mineral water.

No comments:

Post a Comment