Thursday 13 January 2011

WAREMBO WETU LEO











haya waungwana leo nimeona tutembelee blonde kidogo,maana najua zile heavy duty zetu"sungura kamkaba tembo" mmezichoka,blonde hizi zinapatikana mitaa ya soap bar pale kati na cafe opera,waungwana badala ya daily kuishia pale sebule yetu ndefu"VASA",ni bora kwenda kuchanganya habari mitaa hii,tatizo inakuwa inabidi uwe na limit ya biere,halafu kingine inabidi ufanye mazoezi ya kuimba karaoke vile vile.maana ukienda ushazichapa botolo kadhaa wa kadhaa zile "starkol flaska".ni bora usiende mitaa hii,kwanza ukivuka kiunzi cha ma-bouncer utakuwa na bahati.na ukizama ndani vilevile wachumba lazima wakukimbie maana lile bwii ulilochapa kule sebuleni ngoma itakua inatema na mwisho utajiona una nuksi kumbe sio ni vijimambo tu,anga hizi za wastaarabu nenda mkavu halafu smart kiaina ile mambo yetu ya kulipuka ki-hip-hop hapa utaandika maumivu.siku njema 

No comments:

Post a Comment