Thursday 20 January 2011

COMMENT YA WIKI

baada ya kuweka movie ijumaa iliyopita nikapata malalamiko haya toka kwa "anonimosi"

we sijui vp move ya HONEYMOON hukumalizia last wik umeweka OPRAH pat 1 badala ya kumaliza wiki hii unaweka ingine tukueleweje??????????????????? km vp kipengele cha move kitoe
 
anyway mawazo hayakuwa mabaya ilikua tunakumbushana tu,ingawa mdau alikua mkali kidogo.aliyetuma haya maoni sio mbaya nikimfafanulia malalamiko yake hapa.movie ya HONEYMOON pale ndipo ilipoishia hakuna kipengele chochote kilichomiss,kama ni kosa basi waandaaji ndio wa kulaumiwa.
kuhusu OPRAH PT TWO,yes nilijisahau nikadhani imeisha kumbe kuna part two yake.
anyway sasa niko njia panda kidogo na nafikiri nyinyi wadau ndio mtatoa jibu.week-end hii niweke movie gani kati ya OPRAH 2 na FURAHA IKO WAPI 2.

NASUBIRI JIBU LENU.

2 comments:

  1. Anza na oprah mzazi,naikubali sana blog yako kazi mzazi ongeza mwendo.Mdau tumba

    ReplyDelete
  2. Kaka achana nae huyo shwaini, blogi ni yako na unaweza kuweka kile unachopenda wewe, sisi wengine tunakushukuru sana kwamba unatuwekea hizi movie, huyo anaelalamika na akanunue nakala si zinauzwa eboo? wabongo wengine bwana?

    ReplyDelete