Monday 17 January 2011

MAESTRO VUMBI LIVE STOCKHOLM SODRA 15 JAN.

nimejaribu kurekodi ka-video haka pale sodra kwa vumbi jumamosi iliyopita, kidogo imetoka vizuri sound ila sema tu picha haijaonekana sawasawa,anyway nilikuwa nafanya majaribio tu,sio mbaya kwa kuanzia.kipindi kingine ntarekodi ndefu na yenye quality nzuri huu ni mwanzo tu.stay tuned kwa video zaidi na matukio zaidi katika kuboresha globu yetu hii.

No comments:

Post a Comment