Saturday 22 January 2011

YALIYOJIRI KWENYE SHOW YA BERRY BLACK JANA


jamaa alifungua rasmi jina limentoka kidogoo

wazee wa mipango miji wakipanga ratiba


pendo aliwakilisha pia


masai-msema chochote

hapa niliulizwa nalipa bei gani kupata picha ya ma-celebrity,teh teh hii kazi ngumu sometime basi tu

dj jimy ye alikuwa anaonyesha umuhimu wa hii kitu hasa mahali kama hapa

chriss hakukosekana


 dada toka jirani hapo uganda

bery black jukwaani

ghafla bery black akapata mtoa show

mkurugenzi bwana yonaz


naona bwana mwelee mwelee amechapa na Mark Eco

mwelee mwelee na paty

 mama na mwana
upendo kashaanza mambo yake

nuru light na salome walikuwepo




ndugu yangu ye alikula anakata mai tu

warembo walikuwepo toka kona mbalimbali

the light aliwaka kama kawaida yake

mwisho nikawa nimejisahau mwenyewe kaaz kwel kwel 

2 comments: