Friday 7 January 2011

FERRE GOLA VS FALLY IPUPA NANI MKALI?

nilikua natafuta sana hii video leo nimeipata baada ya kumuuliza jamaa yangu fulani.hapa ilikua ni ferre gola na fally kipindi wanatumwa na koffi olomide.´hii kila mtu anapitia katika mafanikio ingawa watu wengine ndio wanachukulia advantage ya kukunyanyasa kisa kakusaidia.kwa tip tu fally ni mtoto wa mjomba wa koffi ollomide.na koffi ndio alimfundisha muziki fally,leo hii ni paka na panya,sababu ni kwamba koffi muda wote alikua anamkumbushia fally kwamba "wewe nimekuokota hujui muziki nimekufundisha muziki mpaka uko unatamba kwa stage unaanza kujidai" fally kwa kuona mtegemea cha ndugu?......akajikata na ndio pale mzimu wa wanamuziki kumkimbia koffi ukaanza

1 comment:

  1. ningetaka sana kujua kama kunayo tofauti baina ya fally na ferre kwa sababu ni kama hawapatani uso kwa uso.kama ipo tofauti basi ni ipi?natamani sana kujua

    ReplyDelete