Friday 28 January 2011

week-end bongo movie"20% FURAHA IKO WAPI 2"

NO-1 NO-2 NO-3 end

haya leo tumemalizia hii muvi kabla hatujaangalia nyingine mpya.natumai wadau mtakuwa mshaangalia party one ya hii muvi huko nyuma na kama bado itafute (google hapo pembeni) utaipata. kwa wale mtakaokua nyumbani leo najua at least mtaangalia,mie naelekea mipakazoni muda huu,yanini kujipa tabu na steress zisizokuwa na mpango,wapakazaji wenzangu najua tutaonana viwanjani.bila kusahau leo kuna
ICE BLACK MAGIC HAPA STOCKHOLM SÄTRA.
 adios

1 comment:

  1. asante isaackin kwa kutuwekea hii movie endelea kutuletea sehemu inayofuata kazi nzuri sana ubarikiwe

    ReplyDelete