Monday 31 January 2011

ICE BLACK MAGIC STOCKHOLM ILIVYOFANA

mr isaackin na bwn chalz tukikwambia tuwemo
humphrey 

kulikuwa pia na jamaa zangu hawa
humphrey,nice,mrembo toka hapo kigali
nuru na smile lake la kukata na mundu
wazee wa mipango miji na serikali za mitaa
sara,jack,humphrey na friend
jamaa yangu alichangamka sana siku hiyo
sister zangu wa hiyari hawa  kwenye pozi


chalz na shemeji,shemeji na humphrey
wakali wa kilimanjaro humphrey na abuu









nuru"THE LIGHT" na salome kama kawaida


hapa km vile jamaa anasema"ntakuchapaa"
jamaa anajibu"aaah kaka mambo gani tena hayo kwenye starehe"
julieth na mzee

chalz na lily

nyomi la kufa mtu
hii inafanana na kili eeh.
sebeneee


naona wazee wa chai wanakaba


niliipenda sana hii



hapa ilikuwa mserereko na kadansee


ndugu yangu siku hii vitabu vitakatifu aliweka kando kwanza


jack,friend ana abuu



watu walikuwa busy sana na kufurahi"no digit"

"eeh unanibeep"
ngoja nikuonyeshe kazi

hapa mtungi tuu mambo mengine baadae

No comments:

Post a Comment