Saturday 1 January 2011

MWAKA 2011 ULIVYOPOKELEWA KATIKA NCHI MBALIMBALI


walio duniani walivyoingiza mwaka
bongo walisherehekea kwanza kiza totoro umeme mgao

kisha ulevi na kuendesha kiza dereva mmoja akalivaa gari la F.F.U

hivyo ndio mwaka unavyokaribishwa na maganga bongo.na huyu dereva bahati aliamua kulivaa hilo gari la polisi maana vinginevyo angeua raia kibao maana walijaa barabarani wanakimbia kimbia hovyo tu na kuchoma matairi.

No comments:

Post a Comment