Friday 30 December 2011

KANUMBA NA WEMA WAFUNGUKA KUHUSU KURUDIANA KWAO

Baada ya Kanumba kufunguka kuhusiana na kuchukizwa kwa habari iliyotolewa kwenye gazeti kuhusiana na kurudisha mahosiano kwa Wema Sepetu, Wema naye amefunguka na kucheck kwenye simu na kuniambia amechoka na haya magazeti kuhusu yeye kila siku ili kuweka msisitozo akaamua kunitumia Voice Note ili mumsikie kabisa.
Bonyeza HAPA kusikiliza

HII IMETOKA BONGOSTARLINK

KANUMBA YEYE HAKUSEMA MENGI ZAIDI YA  KUSEMA "TAFADHALI SIPENDI NA SIHUSIKI NA HABARI HIZI"

1 comment:

  1. kusema la ukweli hata mimi hii cople nilikuwa naipenda sana ila basi tu ingekuwaga amri yangu mimi ningetakaga tu kanumba amuoe wema walikuwa wanapendezana sana tu lakini basi ndio hivyo ni uwamuzi wa

    ReplyDelete