Monday 5 December 2011

MY "SHUGA BANANA"


namubenda zana

kuna siku nimeweka post ya birthday ya bloga mwenzangu,nikamtania kidogo kuhusu diet,kuna mdau akanipa kavu kavu nimshtue na wife pia kuhusu diet.

well nayeye siku hizi kawa mkubwa kama treni.lakini si unajua kwa muda sasa diet ilikua haimhusu sana maana na mambo yenu ya diet kijana angeshinda njaa.


ukimnyima michuzi na madikodiko wife anakua na kamwili kama hako hapo juu.

No comments:

Post a Comment