
Governor naa mkewe wakiaga baada ya kukabidhi nchi kwa Mwl Nyerere

Mwalimu Nyerere akiapishwa

Nyerere akipungia umati wa watu siku ya uhuru

Nyerere na bibi Titi wakati wa kampeni mwaka 1957

baba wa taifa akimwapisha Sokoine(marehemu) kama waziri mkuu

Mwalimu Nyerere na mama Maria Nyerere

Nyerere na wazee wa mji siku ya uhuru mwaka 1961

Nyerere,Kenyatta,Kawawa na Kambona

Mwl Nyerere akifungua bunge na mama Maria Nyerere

Nyerere na wazee wenzie wakipumzisha miguu baada ya kutembea kutimiza azimio la arusha

Mwl Nyerere na familia yake siku ya uhuru

Mwalimu Nyerere alipotembelea zanzibar baada ya mapinduzi

Mwalimu Nyerere na Robert Kennedy
No comments:
Post a Comment