Tuesday 6 December 2011

twanga warejea bongo baada ya ziara ya u.k.




wanamuziki wa bendi ya twanga pepeta wamewasili leo bongo baada ya kufanya makamuzi ya kufa mtu huko u.k.
wanamuziki hao waataungana na  wenzao waliobaki kuendeleza libeneke kama ilivyo ada kuanzia hapo kesho jtano club billicanas,alhamis club maisha, na jumamosi uwanja wa nyumbani mango garden huku jpili wakimalizia leaders club mchana na tcc chang"ombe usiku.

No comments:

Post a Comment