Tuesday 13 December 2011

MWISHO NA MERYN WAFUNGA NDOA NAMIBIA



washiriki wawili wa BBA all star mwisho mwampamba na meryn toka namibia wamefunga pingu za maisha hapo tar 10 dec 2011.
wapenzi hao wamefunga ndoa baada ya penzi lao kuchipua ndani ya jumba la big brother
ndoa hiyo imefanyika nchini namibia na inasemekana pia wanandoa hao wamejaaliwa kumpata mtoto aambaye wametukunuku na jina la mababu al-maarufu km MONKEY.

blogu hii inawatakia maisha ya heri na furaha tele wanandoa hao ambao wameoana kimya kimya bila kelele wala taralila za mavuvuzela km tulivyozoeshwa.


picha kwa hisani ya bongostarlink

No comments:

Post a Comment