Tuesday 13 December 2011

VIDEO-WEMA AKIMTUHUMU JOKATE KUMNYANGANYA MCHUMBA BW ALMAS



mmh ya kweli haya lakini au wema kaamua tu kumpakaza mwenzie waende sawa?unajua wivu sometyme ni kidonda yawezekana kabisa wema alikua anataka aonekane yeye katika hii video mpya sasa kuona kanyimwa nafasi hiyo kapewa jokate kaamua kummwagia ndope amuharibie.

anyway yote yanawezekana maana pia si ajabu jokate kutafunwa na huyu bw mdogo,kwa uzoefu wangu mdogo tu na mabinti wa kibongo jokate kumlambisha sukari guru bw almasi sio issue kiivyo kama tunavyodhani.
inawezekana kabisa alimpa kiduchu diamond kumuonyesha kwamba kuna sukari zingine brand zake za kimtoni mtoni then diamond akapagawa akataka kuchonga mzinga.

mmh,kwa madai ya wema bw diamond hajalala nyumbani siku nne zote kaenda kulala na jokate hotelini kwa kisingizio cha kushuti movie.

anyway uza habari wema ila jiangalie haya mambo hapo baadaye usijejutia

No comments:

Post a Comment